Print this page

013: Naomba unitatajie aina ya makundi walioruhusiwa kula mchana ❓

Written by

SWALI:

Shekh, Naomba unitatajie aina ya makundi walioruhusiwa kula mchana! ?.

JAWABU:

Naam hakika miongoni mwa rehma zake Allah na uepesi wa Dini Hii ni kuwa Allah hawakuwalazimisha waja waje wake woote kufunga ,kwani wako wenye dhuruugu nzito au wengine itawasababishia funga kuwapa matatizo katika afya zao .

Allah anasema ktk surat baqarah aya 185

"يريد الله بكم اليسر ولا يريد بكم العسر " "Anakutakieni Allah kwenu uwepesi wala hakutakieni uzito "

Naam❗
Maulamaa wamewagawa watu hawa ktk makundi manne makuu nayo :--

1⃣- Wanaolazimika kulipa tu ( funga)

2 - Wanaolazimika Kutowa kafara bila kulipa au kufunga

3 - Wanaolazimika Kutowa kafara na kulipa

4 - Wasiolazimika kulipa na Kutowa kafara wala kufunga

- Inshaallah tutataja kila kundi mifano yake na ikiwezekana kutoka dalilis 


والله أعلم

 

Read 2771 times
Said Al Habsy

https://www.ibadhi.com | This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Latest from Said Al Habsy

FaLang translation system by Faboba