Print this page

008: Afanye nini alikuwa kaacha funga ramadhani hali ya kuwa mjamzito na akachelewa kufunga mpaka ikamfikia ramadhani nyingne❓

Written by

SWALI:

بسم الله الرحمن الرحيم

السلام عليكم ورحمة الله و بركاته

Sheikh - Afanye nini alikuwa kaacha funga ramadhani hali ya kuwa mjamzito na akachelewa kufunga mpaka ikamfikia ramadhani nyingne❓

JAWABU 

Ikiwa ameacha kufunga ramadhani kwa hali ngumu ya ujauzito na ikamchelewesha mpaka kumfikia ramadhani nyingne basi hakuna tatizo muhimu azilipe funga zake zote alizoziacha nyuma.

Lakini ikiwa amechelewesha bila ya sababu yoyote ya msingi mpaka kumfikia ramadhani nyingine basi yampasa atoe kafara.

و الله اعلم 

Read 2414 times
Said Al Habsy

https://www.ibadhi.com | This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Latest from Said Al Habsy

FaLang translation system by Faboba