Biskuti Za Macho Ya Ngamia (Ayoun Jamal)
- Written by Um Thuraiya
- Published in MAPISHI
- Add new comment
VINAVYOHITAJIKA NA VIPIMO VYAKE.
1. UNGA VIKOMBE 3
2. SUKARI NUSU KIKOMBE
3. MAYAI 2
4. SIAGI 250 GSM
5. BAKING POWDER KIJIKO 1 TEASPOON
6. VANNILLA TEASPOON
JINSI YA KUANZA KUCHANGANYA NA KUANZA KUPIKA
UNATIA SIAGI KWENYE MASHINE YA CAKE MIXER UNASAGA NA SUKARI MPAKA ICHANGANYIKE VIZURI, HALAFU UNATIA MAYAI IKISHACHANGANYIKA UNATIA VANNILLA, CHUKUA UNGA CHANGANYA NA BAKING POWDER UANZE KUTIA KWENYE MCHANGANYIKO.
USAGE KIDOGO UTOE, UKISHAUTOA CHUKUA RANGI ZA AINA TATU, FANYA MADONGE MATATU PEMBENI HALAFU KILA DONGE TIA RANGI TOFAUTI YAANI KIJANI, ORANGE NA NYEKUNDU BAADAE CHUKUA MASHINE YA KUTENGENEZEA BISCUITS ZAKO FANYA VIDUARA VIDOGO DOGO UTIE KWENYE MASHINE HALAFU FUNIKA, FANYA HIVYO MPAKA UMALIZE, UKISHAMALIZA ZOOTE ZICHONGE ZOOTE PEMBENI ZIWE SAWA UKIZIUNGANISHA.
TOPPING
CHOCOLATE ZA AINA YA NUTELLA NA ASALI KWA AJILI YA KUZIUNGIA
NZURI KWA KAHAWA.