Said Al Habsi
SWALI LA 3:Ni zipi shuruti za (mali) ambazo zinawajibu kutolewa zaka...
SWALI LA - (3)
Ni zipi shuruti za (mali) ambazo zinawajibu kutolewa zaka ?
JAWABU
Zaka ni haki maalumu ambayo inawajibu katika maali maalumu, na kupita wakati...
SWALI LA 4: Ni upi upeo wa athari ya zaka katika...
SWALI LA - (4)
Ni upi upeo wa athari ya zaka katika mujitamaa wa kiislamu?
JAWABU
Zaka huzalisha katika nafsi ya mtowaji urehemevu na upole kwa mafukara...
SWALI LA 5:Jee inajuzu kula chakula (cha sherehe) cha ambaye hatoi...
SWALI
Jee inajuzu kula chakula (cha sherehe) cha ambaye hatoi zaka, na yeye ana miliki mali nyingi miongoni mwa ngamia na mbuzi ?
JAWABU
Ama kula chakula...
SWALI LA 7:Ni ipi kauli yenu kwa ambaye hasikii wala haoni,...
SWALI
Ni ipi kauli yenu kwa ambaye hasikii wala haoni, vipi afunge ?
JAWABU
Ambae hasikii wala haoni atatanabahishwa kwa kuingia mwezi wa funga itakavyo wezekana,kama haikuwezekana...
SWALI LA 6:Mtu amefunga ramadhani katika nchi ya Imarati, na alikula...
SWALI
Mtu amefunga ramadhani katika nchi ya Imarati, na alikula siku tatu kutokana na maradhi ambayo yalimsibu, na alirudi Oman kabla ya mwezi kumaliza na...
SWALI LA 5:Mwenye kusafiri kutoka nchi yake kwenda nchi nyengine ambayo...
SWALI
Mwenye kusafiri kutoka nchi yake kwenda nchi nyengine ambayo imetangulia kuingia alfajiri, vipi itakuwa kufutari kwake ?
JAWABU
Mwenye kusafiri kwenda nchi nyengine hali amefunga, na...
KUANDAMISHWA MWEZI WA HIJA
Msitahiwa Sheikh wetu Mwanachuoni Ahmad Hamad Al-Khalili Allah mtukufu akupeni taufiki yake.
Mufti Mkuu wa Oman.
Asalamu alaykum wa rahmatullahi wa barakatuh.
Maudhui: Kutaka Fatwa kuhusu...
1. Ukiyakinika unajisi wa pahala pa kusalia, je inasihi kusali juu...
Ukiyakinika unajisi wa pahala pa kusalia, je inasihi kusali juu ya kilichotandikwa juu yake?
Ikiwa kilichotandikwa ni kama jamvi, linalojulikana Omani kwa kuto kuungana kindu...
2. Je mfeleji (mfereji) hunajisika kwa kuoga majusi ndani yake ?
Je mfeleji (mfereji) hunajisika kwa kuoga majusi ndani yake ?
Amepokea Imam Ar-Rabii bin Habib –Allah amrehemu- kwa Abu Ubaida kwa Jabir kwa Ibn Abbas...
3. Je nguo za mwenye janaba hunajisika kwa jasho lake ?...
Je nguo za mwenye janaba hunajisika kwa jasho lake ? Na je hunajisika nguo za mwenye hedhi na mwenye nifasi kwa jasho lao ?
Mwili wa...
