Said Al Habsi
MADHEHEBU YA HAKI YA KIISLAMU
بسم الله الرحمن الرحيم
UTANGULIZI
Shukurani zote ni kwa Allah mwenye kuneemesha kila neema juu ya waje wake, na Rehma na Amani ziwe kwa Mjumbe wake...
Zakat Calculator
Zakat ( Kiarabu: زكاة zakat , "Hiyo ipi humtakasa " ) ni aina ya kupewa sadaka - kutoa and Religious kodi katika Uislamu, Ambayo,...
DIBAJI
Assalaamu alaykum warahmatullahi taala wabarakaatuhu ndugu zangu, baada ya salamu rehma na amani zimfikie Bwana wetu mpenzi Nabii Muhammad na Swahaba zake watukufu na...
UTANGULIZI
Zimekhitilafiana madhehebu za Kiislamu juu ya sifa na namna ya kuisali swala .. na khilafu kubwa iliyomo na yenye mjadala baina ya madhehebu hayo...
MAELEZO JUU YA MILANGO HUSIKA
MLANGO WA KWANZA:
Rai ya Maibadhi kuhusu suala la kuinua na kufunga mikono katika swala, na nimebainisha rai ya Maibadhi na dalili zao juu ya...
MLANGO WA KWANZA – 1.RAI YA MAIBADHI KATIKA KUNYANYUA NA KUFUNGA...
RAI YA MAIBADHI KATIKA KUNYANYUA NA KUFUNGA MIKONO
Maibadhi wanaona kuinua na kufunga mikono katika swala hakusihi kwa sababu hivyo ni vitendo vilivyozidi katika swala,...
MLANGO WA KWANZA – 2.Hadithi ya yule mtu aliyekosea kusali, na...
PILI
Hadithi ya yule mtu aliyekosea kusali, na imepokewa katika njia mbili:
1-Kwa njia ya Abi Hurayrah (r.a) ambayo imekuja kwa ujumla, na hii ndiyo naswi...
MLANGO WA KWANZA – 3.Na simamisheni swala
Tatu
Hakika swala Allah ametuamrisha kwa ujumla katika kitabu chake kitukufu amesema: 7{… وَأَقِيمُوْا الصَّلاَةَ }.
Tafsiri yake: {Na simamisheni swala}.
Na zimekuja baadhi ya aya zinazoashiria...
MLANGO WA KWANZA – 4.Salini kama mnavyoniona ninasali
Nne:-
Amepokea Imam Ahmad na Albukhary kwa njia ya Malik bnul Huwayrith (r.a) kuwa Mjumbe wa allah rehma na amani ziwe juu yake amesema: "...