admin
MLANGO WA KWANZA – 6.Hakika kila amali (zitalipwa) kutokana na nia...
Sita
Kwa hakika suala la kufunga na kuinua mikono hukumu yake haivuki zaidi ya kuwa ni mustahabbu (jambo linalopendelewa) kwa hao wanaojuzisha jambo hilo, hivi...
MLANGO WA KWANZA MWISHO – Hadithi zilizokuja katika kuinua na kufunga...
Saba - Mwisho
Wakati wa kuzichambua hadithi zilizokuja katika kuinua na kufunga mikono itadhirika ya kuwa hadithi zote hizo ni dhaifu au za kuzuliwa, na...
MLANGO WA PILI – 1.UCHAMBUZI KUHUSU HADITHI ZA KUINUA NA KUFUNGA...
UCHAMBUZI KUHUSU HADITHI ZA KUINUA NA KUFUNGA MIKONO
SEHEMU YA KWANZA:
HADITHI ZA KUINUA MIKONO
1-عن أبي هريرة رضي الله عنه قال : " كَانَ رَسُوْلُ اللهِ...
MLANGO WA PILI – 2.HADITHI ZA KUFUNGA MIKONO
SEHEMU YA PILI:
HADITHI ZA KUFUNGA MIKONO
1- عَنْ وَائِل بن حُجْر(( أَنَّهُ رَأَى النَّبِيَّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ رَفَعَ يَدَيْهِ حِيْنَ دَخَلَ فِي الصَّلاَةِ ،...
HITIMISHO
HITIMISHO
Na kwa hivyo unaona ndugu msomaji, pupa ya Maibadhi ya kufanya amali kwa kufuata hadithi sahihi, na kuziacha kwao hadithi dhaifu, yote hayo kwa...
SALAMU ZA IDDI
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR WA LILLAAHIL-HAMDU
Shukurani zote ni kwa Allah mwingi wa kuneemesha mwingi wa kukirimu, na rehma na amani...
SWALI LA 8: Kuonekana kwa mwezi
SWALI
Sisi ni wanafunzi tunasoma India wala hatujui wakati gani tufunge; kwa sababu Waislamu hapa hufunga imma kwa kufuata Saudia au kwa kutumia kalenda bila...
SWALI LA 1: Wakati gani Zaka ilifaradhishwa?
SWALI LA - (1)
Wakati gani Zaka ilifaradhishwa?
JAWABU:
Faradhi ya zaka Kwa pamojo ilifaridhashwa makka kwa kauli sahihi, kwa dalili ya aya za Makka ambazo zimezungumzia...
SWALI LA 2:Ni ipi nia inayo pasa kuileta kwa mtoaji zaka...
SWALI LA - (2)
Ni ipi nia inayo pasa kuileta kwa mtoaji zaka na mpokeaji zaka?
JAWABU
Mtoaji zaka anuwie ibada kwa utowaji wake zaka, kwa kumtii...
SWALI LA 3:Ni zipi shuruti za (mali) ambazo zinawajibu kutolewa zaka...
SWALI LA - (3)
Ni zipi shuruti za (mali) ambazo zinawajibu kutolewa zaka ?
JAWABU
Zaka ni haki maalumu ambayo inawajibu katika maali maalumu, na kupita wakati...