Home fatawa za samahaat Sh. Ahmed Al-Khalili-Muft Wa Oman SWALI LA 8: Kuonekana kwa mwezi

SWALI LA 8: Kuonekana kwa mwezi

161
0

SWALI

Sisi ni wanafunzi tunasoma India wala hatujui wakati gani tufunge; kwa sababu Waislamu hapa hufunga imma kwa kufuata Saudia au kwa kutumia kalenda bila ya kuangalia mwezi, jee nini tufanye?

JAWABU

Ni juu yenu mufunge kwa kuonekana mwezi katika nchi ambayo mupo, kama munavyo swali kwa kutumia nyakati zao.

والله أعلم.

Lengo la funga ni kupata ucha mungu, wala sio kujitibu

Previous articleSWALI LA 1: Wakati gani Zaka ilifaradhishwa?
Next articleSALAMU ZA IDDI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here