Home fatawa za samahaat Sh. Ahmed Al-Khalili-Muft Wa Oman SWALI LA 2:Ni ipi nia inayo pasa kuileta kwa mtoaji zaka na...

SWALI LA 2:Ni ipi nia inayo pasa kuileta kwa mtoaji zaka na mpokeaji zaka?

667
0

SWALI LA – (2)

Ni ipi nia inayo pasa kuileta kwa mtoaji zaka na mpokeaji zaka?

JAWABU

Mtoaji zaka anuwie ibada kwa utowaji wake zaka, kwa kumtii Allah kwa kumpa neema ya mali, na akamfaradhishia sehemu hiyo ya mali kuitoa, na anuie pia kuitoharisha nafsi yake na kuitakasa kutokana na ubakhili, na anuie pia upole kwa mafukara na maskini, ama maskini achukuwe kwa lengo la kutekeleza shida zake, na kuihifadhi nafsi yake, ili asije kuchukuwa mali za watu.

والله أعلم.
———
{ Na wanao kusanya dhahabu na fedha (mali), wala hawazitumii katika njia ya Mwenyezi Mungu, wabashirie khabari ya adhabu ilio chungu}
———-
Imetaarishwa Na Kufikishwa Kwako na;
Thuweiniy Seif Al-Ismailiy.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here