Home tohara 1. Ukiyakinika unajisi wa pahala pa kusalia, je inasihi kusali juu ya...

1. Ukiyakinika unajisi wa pahala pa kusalia, je inasihi kusali juu ya kilichotandikwa juu yake?

200
0

Ukiyakinika unajisi wa pahala pa kusalia, je inasihi kusali juu ya kilichotandikwa juu yake?

Ikiwa kilichotandikwa ni kama jamvi, linalojulikana Omani kwa kuto kuungana kindu lilizo tengezewa, basi haidhuru kuwapo najsi kwenye upande wake mmoja kama mwenye kusali hakuwa juu yake. Ama kikiwa kilichotandikwa ni kama zulia, basi kuwapo najsi hata nchani mwake humharibia mwenye kusali kwa kuwa nyuzi zake zimeungana. Na Allah anajua zaidi.

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here