Home TAREHE YA RAMADHANI TAREHE ILIYOANZA SAUMU YA RAMADHANI.

TAREHE ILIYOANZA SAUMU YA RAMADHANI.

265
0

800×600

Normal 0 false false false EN-US X-NONE AR-SA MicrosoftInternetExplorer4 Saumu ya Ramadhani ilifaradhishwa tarehe 10 Shaaban mwaka wa pili baada ya al Hijra[1], mwaka mmoja na nusu baada ya kubadilishwa kibla kutoka Masjid al Aqsa kuelekea Masjid al Haram (Makka). Na Mtume S.A.W. alifunga saumu ya Ramadhani muda wa miaka tisa katika uhai wake kabla ya kufariki kwake.

[1] Kuhamia Mtume S.A.W. Madina

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here