Home KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE : 7

KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE : 7

238
0

Nini kauli yenu kukhusu imamu akikosea katika kisomo, je inamlazimu sujudu ya sahau ?Ikiwa ni kosa la kisomo tu kwa sahau, pasina kusahau kitu katika matendo ya sala basi haimlazimu kusujudu kwa ajili ya sahau yake hiyo. Na Allah anajua zaidi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here