Home KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE : 5

KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE : 5

194
0

Katika sala ya kusoma kwa siri niliongeza sura pamoja na alfaatiha kwa sahau, nikakumbuka nami nimo katikati ya kisomo, nini nifanye?Kata kisomo na urukuu, na baada ya kumaliza kusali sujudu kwa ajili ya sahau yako. Na Allah anajua zaidi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here