Home KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE : 4

KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE : 4

171
0

Nini hukumu ya sujudu ya sahau kwa mwenye kusali adhuhuri na alasiri kwa kuchanganya na ikamtokezea sahau katika sala zote mbili?Kumekuwa na khilafu kukhusu mwenye kuchanganya sala mbili je asujudu kwa kila sala moja kwa ajili ya sahau ikiwa alisahau katika zote mbili, ambapo atasujudu kwa sala ya mwanzo baada ya kutoa salamu na vivyo hivyo atafanya katika sala ya pili, au asujudu kwa sala zote mbili baada ya kumaliza sala ya pili. Kauli ya mwanzo ndio sahihi zaidi. Na Allah anajua zaidi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here