Home KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE : 3

KUSAHAU NA HUKUMU ZAKE : 3

235
0

Akisahau imamu katika sala na akasujudu sujudu ya sahau, je asujudu maamuma aliyemsabihia imamu pamoja na kuwa ana hakika kuwa yeye hakusahau, au yeye ni tafauti na imamu katika kuto kumlazimu sujudu ya sahau?Imamu akisujudu kwa ajili ya sahau kabla ya kutoa salamu watasujudu maamuma wote pamoja naye kutokana na kufungamana sala zao na sala yake na kwasababu ya wajibu wa kumfuata imamu. Ama akisujudu baada ya sala haitawawajibikia kusujudu, lakini inawajuzia wakitaka. Na Allah anajua zaidi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here