Home Hii ndio saumu DUA YA LEO-RAMADHANI-12

DUA YA LEO-RAMADHANI-12

199
0

DUA YA LEO-12

 اللهم اجعل هذا الشهر الجديد خير علينا وبشرنا فيه ببشارة خير واجعل لنا الراحة والتوفيق فيه وابعد عنا كل ضيق.

Takuomba Ewe Allah jaalia  mwezi huu mpya uwe na kheri kwetu na utubashirie ndani yake kwa bishara nzuri yenye kheri, na ujaalie kwetu sisi raha na tawfiq ndani yake, na utuweke mbali na kila dhiki.

TWAKUOMBA YAA RABBI ZIKUBALI FUNGA ZETU VISIMAMO VYETU NA JUMLA YA AMALI ZETU.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here