Home Hii ndio saumu DUA YA LEO-RAMADHANI-11

DUA YA LEO-RAMADHANI-11

219
0
DUA YA LEO-11
 لهم اجعلنا فيه من المتوكلين عليك ، و اجعلنا فيه من الفائزين لديك ، و اجعلنا فيه من المقربين اليك باحسانك يا ذا الجلال والإكرام .
Twakuomba ewe Allah tujaalie ndani ya mwezi wa Ramdhani tuwe miongoni mwa wenye kutegemea kwako, na utujaalie ndani yake miongoni mwa watakao fuzu kwako, na utujaalie ndani yake katika watakao karibishwa kwako kwa hisani yako ewe mwenye utukufu na ukarimu.

TWAKUOMBA YAA RABBI ZIKUBALI FUNGA ZETU VISIMAMO VYETU NA JUMLA YA AMALI ZETU.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here