Home MANENO YA HEKIMA 6. ASILI YA BALAA NA SHARI

6. ASILI YA BALAA NA SHARI

227
0

ASILI YA BALAA NA SHARI

Kutoka katika kitabu cha dhiyaau:

Asili ya balaa na shari zote, imo katika mambo sita:

La kwanza.
Ni KIBURI :nayo ni dhabi ya Ibilisi alielaniwa.

La pili-
MAJIVUNO *(kujiona):nako kunakula dhawabu za mtu kama moto unavyokula kuni.

La tatu-
UBAKHILI :na *alokuwa nao amenyimwa kheri za dunia na akhera.

La nne-
DHULMA: nayo *humrejea mwenyewe,amesema Allah:

((إنما بغيكم على أنفسكم))
((Hakika dhulma yenu inawarejea wenyewe)) – yunus 23

La tano-
HASADI: na aliyokuwa nayo daima huwa na machungu (ndani ya nafsi na hana raha ).

La sita-
UROHO (wa mali ,cheo,chakula na maslaha mengineyo).

Na:Muhamed Hilal Al abriy.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here