Home MANENO YA HEKIMA 14. Watu wazuri ni taa chache

14. Watu wazuri ni taa chache

198
0

Watu wazuri ni taa chache

Watu wazuri ni taa chache,lakini muangaza wake unamurika kila sehemu katika maisha yetu.

Amesema Alhasan lbasariy (R):(wasilianeni na marafiki zenu,kwani marafiki wakweli ni taa yenye kuangaza, huenda usigundue nuru yake, illa pale dunia itakapokufunika na kiza chake).

Kwa kila wale tunaowapenda kwa ajili ya Allah.

 

Na Sh. Mohamed Hilal Al Abry

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here