Home MANENO YA HEKIMA 10. Chumvi na sukari

10. Chumvi na sukari

230
0

Chumvi na sukari

Mwanamme ni kama chumvi aondokapo nyumba huwa haina ladha na akingia watu wa nyumbani presha huwapanda, Ama mwanamke ni kama sukari akosekanapo nyumba huwa chungu na akiwepo nyumba huzidi utamu.
Sijuwi na nani kamshinda mwenziwe hapo akidi (na uhakika) wanawake watasema eti ni wao.Hayo ni mawazo ya jamaaa fulani ee sio mimi nimewatumiaga tu, kutoka kwa sahiba yangu, munipe rai yenu.

Na:Muhamed Hilal Al abriy.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here