Home MAPISHI Chocobon

Chocobon

251
0

Chocobon

VINAVYOHITAJIKA NA   –      VIPIMO VYAKE.

1. UNGA                                 VIKOMBE 4

2. SUKARI                              VIJIKO 2 VYA SUPU

3. MAYAI                                MOJA

4. SIAGI                                 75 GRAM

5. MAZIWA                             KIKOMBE 1 CHA MUG.

6. MAJI                                  1/2 KIKOMBE.

7. CHUMVI                             1/4 KIJIKO CHA CHAI.

8. HAMIRA                             KIJIKO KIMOJA KIKUBWA CHA SUPU.

9. VANNILA                            KIJIKO 1 CHA CHAI

10. MDALASINI                       VIJIKO 3 VYA SUPU.

11. MAZIWA MATAMU (CONDENSED MILK) KOPO MOJA DOGO.

12. KOROSHO (ZITWANGWE)   KIASI.

13. MDALASINI                     VIJIKO 3 VYA SUPU.

14. SAUCE YA KUPAMBIA

JINSI YA KUCHANGANYA

Changanya vitu vyoote vya maji kwenye mashine anza kutia unga huku unasaga lakini Mdalasini na sukari usitie wakati wa Kuponda. Unga ukishaumuka sukuma upakie siagi kwa juu halafu chukua ile sukari na mdalasini uichanganye unyunyize kwa juu ya siagi. Ukishamaliza zungurusha kama roll ukate ndogo ndogo na kisu. Zipange kwenye tray zichome kwa moto wa 175 degree zikiwa tayari zitie maziwa matamu na zirushie vipande vya korosho

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here