Home Introduction IMAMU NURUDINI ASAALIMI R.A.

IMAMU NURUDINI ASAALIMI R.A.

322
0

 “Na sisi hatuna madhehebu isipokuwa uislamu, basi tunaikubali haki kutoka kwa yoyote atakaye kuja nayo hata kama hapendwi, na tunaikataa batili kwa yoyote atakaye kuja nayo hata kama ni kipenzi, tunawajuwa watu kwa haki, basi mkuu kwetu ni yule atakaye ikubali haki, na mdogo kwetu ni yule atakaye ikataa haki.

Na Mwana wa Ibadhi hajatupangia madhehebu, basi unasibisho wetu kwake yeye ni kwa dharura ya kuainisha wakati kila kundi lilipochukuwa njia yake”.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here