Home Athari za Maimamu 4. USIJILEGEZE KATIKA UTIIFU WA ALLAH

4. USIJILEGEZE KATIKA UTIIFU WA ALLAH

235
0

“Ikikufikia barua yangu yakusaidie aliyofaradhisha Allah kwako katika usikivu wako na uoni wako na moyo wako na viungo vyako vyote, na usijilegeze katika yale yasiyokua na budi kwako, na jipatie usiyekua na budi naye; kwani hakika ya fakiri mnyonge ni yule mwenye kujiondosha kwa mwenye kumuhitaji na kumuhitaji yoyote asiyemuhitaji”

(Rasail Imam Jabir bin Zaid uk. 16)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here