“Ama baada ya hayo,,
Hakika sisi ni wenye kusalimika walio wema ikiwa tutamcha Allah haki ya kumcha, na imenifikia barua yako ukitaja ndani yake kuwa mimi ni watu wa upendo wako na mwenendo wako na nasaha zako kwa yale aliyoyajaalia Allah baina baina yetu na baina yako katika Uislamu, basi hilo ndio nasabu iliyo bora zaidi, nalo ndio bora zaidi la kuwaunganisha watu, na kushikamana kamba zao kwa kamba zake”
(Barua za Imam Jabir bin Zaid Uk. 8).